Alifeli Mitihani Mara Nne Mfululizo Kumbe Laana ya Kifamilia Ilikuwa Inamvuta Nyuma

 


Nilipokuwa nikikua, kila mtu alinitazama kama mtu mwenye akili nyingi sana. Nilipata alama nzuri shuleni, walimu walinishauri niende katika shule za vipaji maalum, na wazazi wangu walijivunia sana kuwa na mtoto kama mimi. Lakini mambo yalibadilika ghafla nilipoanza elimu ya sekondari ya juu.

Kwa mara ya kwanza maishani, nilifeli mtihani wa mwisho wa kidato cha pili. Wazazi wangu walifikiri ni uzembe au msongo wa mawazo, wakasema labda ni marafiki wabaya. Soma zaidi hapa. 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post