Watuambie kwa nini walikimbia Machi 08 - Kamwe

 

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe, amesema kuwa wao ni waungwana na wako tayari kucheza Dabi ya Kariakoo endapo watapewa maelezo ya kina kuhusu sababu za kuahirishwa kwa mchezo namba 184 na Bodi ya Ligi Machi 8 mwaka huu

Kamwe amesema majibu hayo yatawasaidia wanachama wa Yanga kuelewa hali halisi na hivyo kupunguza hali hii ya sintofahamu

Aidha, Kamwe ameongeza kuwa iwapo Klabu ya Simba itaeleza kwanini haikuleta timu uwanjani Machi 8, basi Yanga itakuwa tayari kushiriki mchezo huo utakaopigwa Juni 15, 2025

"Wao wamekimbia mechi March 08, tuko hapa kwa sababu Simba ilikimbia mechi terehe nane, watuambie Machi 08 nani hakuwepo katika timu yao ambaye kaongezeka leo?"

"Kama wachezaji wao wote walkuwepo watuambie kwa nini walikimbia?. Sisi Yanga tunataka majibu kwa nini walikimbia?"

"Kama tutapewa majibu naamini wanachama wetu watatulia. Tunataka majibu kutoka kwa wenye mamlaka au hata Simba wenyewe kama wanaweza kutoka hadharani na kutuambia kwa nini walikimbia Machi 08, sisi ni waungwani tunaweza kubadili mawazo na kucheza mechi ya Juni 15 kama watakiri walikimbia aibu ya kufungwa mara ya tano mfululizo," alisema Kamwe

Wakati Yanga ikisubiri majibu, Mkutano wa viongozi wa Matawi uliofanyika Jangwani jana, Wanachama wameazimia kuitishwa Mkutano wa dharura ili kujadili sakata hilo na kutangaza msimamo rasmi wa Wanachama wa nchi nzima

Muda mchache ujao kutakuwa na mechi kali za ligi kuu barani ulaya moja ikiwa kutanisha wababe wa hispania kati ya BARCELONA vs REAL MADRID na huko england ni LIVERPOOL vs ARSENAL Aise Usikose kuzitazama mechi hizi zote LIVE  bure kupitia simu yako  download App yetu muda huu inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

 Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD

Au hapa chini pia


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

  1. Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Bonyeza Download anyway

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post