Wamewahi kukuambia kuwa umezaliwa bila bahati ya kuwa mzazi? Ukajikuta unaanza kuamini, kwa sababu kila kitu kinachopaswa kutokea hakitokei?
Miaka nane iliyopita, nilikuwa nimeanza kupoteza imani – si kwa watu tu, bali kwa nafsi yangu. Niliolewa nikiwa na matumaini makubwa kama mwanamke mwingine yeyote: upendo, familia, na hatimaye watoto.
Lakini mwaka wa kwanza ukaisha, halafu wa pili… kisha wa tano… na bado hakuna ujauzito. Nilikuwa nikitabasamu mbele za watu, lakini ndani nilikuwa nimevunjika vipande vipande.
Hospitali zilinijua kwa jina. Nilipimwa kila kitu kilichowezekana. Kila daktari aliniambia: “Wewe huna shida yoyote.” Ndiyo, kwa macho ya kitiba nilikuwa mzima kabisa.
Lakini kwanini basi sikuwa napata....SOMA ZAIDI
Post a Comment