Mwanajeshi aangua kilio baada ya mkewe kumpiga tukio zito!

 Ilikuwa ni Jumamosi ya huzuni kwa Mwanajeshi wa KDF baada ya kufika nyumbani kwake na kuangua kilio baada ya kupokea habari za kusikitisha za jinsi ambavyo mkewe alitumia vibaya fedha zake ambazo alikuwa akimtumia.

Kwa miaka mitatu akiwa katika uwanja wa vita, Mwanajeshi huyo alikuwa akimtumia mkewe mshahara wake wote. Hata hivyo, mkewe alighushi taarifa za kifo chake na kuamua kuuza mali zake zote ili kuolewa na mmoja wa matajiri wakubwa mjini Kisii.

Akizungumzia kilichotokea, Mwanajeshi huyo wa KDF alisema kwamba mnamo mwaka 2021, alitumwa kwenda katika misheni ya amani huko Sudan lakini baada ya kurejea amekaribishwa na mambo ambayo...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post