Tabia ya utapeli yamtokea puani baada ya kuchukuliwa hatua kali

 


Hata hivyo, siku moja nikiwa nyumbani, alijitokeza mtu mmoja na kudai eneo lile shamba ni la kwake pia, nilimwambia nina hati ya kumiliki ardhi hiyo naye akasema anayo pia, nilipojaribu kuulizia kwa mtu aliyeniuzia akasema siyo kweli, huyo ni tapeli.

Baada ya wiki kama mbili, mtu yule naye akaleta vifaa na mafundi mara moja ili kuanza ujenzi, jambo hilo lilinichanganya sana hasa pale niliposikia mtu huyu ana nguvu kubwa kifedha, huvyo anaweza kusema mimi ndio nimevamia eneo lake.... SOMA ZAIDI HAPA 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post