Nilikuwa nauza hadi usiku wa saa nne na kuamua mwenyewe kwenda kulala kutokana na uchovu wa siku, kwa jinsi biashara ilivyokuwa inatoka niliweza kufanya mambo mengi ya kimaendeleo ikiwemo kumjengea bibi kijijini, nimenunua bajaji zangu mbili ambazo nimekodishia vijana wafanye nazo kazi
Kwa sasa nimeweza kupanga nyumba nzuri yenye kila kitu ndani na ninajiona mbali sana kimaisha kwa fedha ambazo nimekuwa nikiingiza kila siku ambazo kwa sasa naziweka Benki. ... SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment