Wachezaji wa Yanga wamepewa mapumziko ya wiki moja kabla ya kurejea kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kuhitimisha msimu
Kulingana na ratiba, Yanga itarudi tena uwanjani Juni 18 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa uwanja wa Sokoine, Mbeya
Baada ya mchezo huo Yanga itarejea Dar kwa ajili ya mechi mbili za kuhitimisha msimu
Juni 22 itakamilisha mechi ya mwisho ya ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji uwanja wa KMC Complex na kisha mechi ya fainali kombe la CRDB dhidi ya mshindi wa mchezo wa nusu fainali kati ya Simba dhidi ya Singida BS
Huenda mchezo huo wa fainali ukapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa mwishoni mwa Juni
Wachezaji walioitwa kwa ajili ya majukumu ya timu za Taifa watajiunga na mataifa yao wakati wengine wakitarajiwa kurejea kambini Juni 1
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment