Rafiki Yangu Aliyepunguza Uzito Kwa Dawa za Asili Lakini Mabadiliko Yake Yalifichua Siri Nzito

 


Hakuwa mtu wa kujionesha, lakini kila aliyekuwa karibu naye alijua changamoto yake kubwa ilikuwa ni uzito. Alikuwa na mwili mkubwa tangu utotoni na hilo lilimletea matatizo ya kisaikolojia.

Alikua mtu wa kujificha, hakupenda kupigwa picha na kila mara aliona watu wanamcheka. Jina lake ni Hellen, rafiki yangu wa karibu tangu tukiwa sekondari.

Baada ya kumaliza shule, kila mmoja wetu aliendelea na maisha yake, ila tulibaki tukiwasiliana mara kwa mara. Ilikuwa ni miaka miwili...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post