Unaweza kuwa umeona video hiyo katika mitandaoni ya kijamii ikisambaa sana ambapo inaonyesha hali ya mtafaruku kwa mwanamume huyo aliyekuwa ameketi kitandani, huku wanawake hao watatu wakizozana.
Kwa miaka mingi mwanaume huyo aitwaye Moses Munga alikuwa akihangaika kutafuta mapenzi ya dhati, licha ya utajiri wake mkubwa hakufanikiwa kumpata mwanamke wa kutuliza moyo wake.
Majaribio yake ya kupata mwenzi wa maisha yalikwamba mara kwa mara kwani wanawake walionekana kuvutiwa zaidi na mali zake na sio kuwa tayari kufunga naye ndoa kitu ambacho kilikuwa kinamuacha njia panda.
Hata hivyo, mabadiliko yalitokea mwaka mmoja uliopita...SOMA ZAIDI
Post a Comment