Siku niliyoondoka kwake nilikuwa na begi moja tu la nguo na machozi yasiyokauka. Alikuwa amenifukuza kwa hasira, akinitukana mbele ya yule mwanamke mpya aliyemletea hata chakula kazini.
Nilijaribu kumuuliza kosa langu ni nini, lakini alinikazia macho na kusema, “Sina mpango wa kuendelea na wewe. Sasa nina mtu anayejua kunipa amani.”
Nilihisi dunia ikizunguka. Tuliishi pamoja kwa miaka miwili, tukipitia vingi. Niliwahi kumsaidia kulipa kodi ya nyumba wakati alipofilisika, nilihifadhi siri zake nyingi hata ambazo zingevuruga familia yake. Lakini yote hayo yalifutwa kwa sababu ya mwanamke...SOMA ZAIDI
Post a Comment