Nilihangaika Miaka 12 Bila Mtoto, Sasa Nina Wawili Kwa Mara Moja

 Niliolewa nikiwa na umri wa miaka 26 nikiwa na matumaini makubwa ya kuanzisha familia yenye watoto na upendo mwingi. Kama wanawake wengi waliokulia katika jamii inayothamini sana uzazi, nilijua mara tu baada ya harusi, watu wangeanza kutarajia kuona mabadiliko tumboni mwangu.

Na kweli, mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu... kila mwezi nikisubiri kuona dalili za ujauzito ambazo hazikuwahi kuja. Mwaka wa kwanza wa ndoa ulipita bila mtoto, kisha wa pili na wa tatu. Nilijipa moyo kuwa labda bado Mungu ananipangia muda sahihi.

Lakini jamii haikuwa na subira kama yangu. Maneno ya kunicheka...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post