Mwanangu Aliendelea Kufeli Shuleni Mpaka Nilipogundua Kilichokuwa Kinamzuia Kiroho

 Kila mzazi anatamani kuona mtoto wake akifanikiwa shuleni. Nami sikuwa tofauti. Mwanangu, Brian, alikuwa na akili nzuri sana tangu akiwa mdogo.

Alionyesha kipaji cha hali ya juu darasani, lakini kadri alivyokua, mambo yakaanza kubadilika.




Alianza kupata alama za chini bila sababu inayoeleweka. Walimu walishangaa, mimi kama mama nilihangaika, lakini bila majibu.

Tulijaribu kila njia. Nilimpeleka kwa walimu wa ziada, nikamnunulia vitabu maalum, na hata kumsajili katika shule bora zaidi. Hakukuwa na tofauti kubwa. Alama zake zilizidi kushuka na mara nyingi alionekana mwenye huzuni na kukosa kujiamini.

Alipofikia darasa la saba, hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post