Naitwa Mariam Yusuf. Ni mama wa watoto watatu, ninaishi Morogoro. Kwa miaka zaidi ya kumi, maisha yangu yalikuwa kama ndoto mbaya isiyoisha. Nilijaribu kila njia kujikwamua kimaisha, lakini kila mara nilihisi kama kuna kitu kisichoonekana kinanizuia.
Nilikuwa na ndoto nyingi kuanzisha biashara ya chakula, kuwapeleka watoto wangu shule nzuri, na hata kusaidia wazazi wangu waliokuwa wastaafu. Lakini kila biashara niliyofungua haikudumu zaidi ya miezi mitatu. Wateja walikuwa wanakuja siku chache za mwanzo, kisha wanapotea ghafla bila sababu. Nilijaribu kubadilisha eneo...SOMA ZAIDI
Post a Comment