Jina langu ni Elias Mwakyusa. Nina miaka arobaini na mbili na nina mke mmoja na watoto wawili. Nilikuwa na maisha ya kawaida kama mwanaume mwingine yeyote anayejaribu kulea familia yake kwa heshima na upendo. Lakini miaka mitano iliyopita mambo yalibadilika ghafla na maisha yangu yakawa magumu kwa njia ambayo sikuwa naweza kuelewa.
Kila siku kulikuwa na ugomvi nyumbani. Mke wangu alikuwa mwenye hasira kila wakati na hata watoto walionekana kuwa na hofu kila nilipokaribia. Nilijaribu kuzungumza naye lakini kila mara tulimaliza kwa matusi na machungu. Nilihisi kama siishi na familia yangu tena bali na watu wanaonichukia...SOMA ZAIDI
Post a Comment