Job kuongeza miwili Yanga

 

Mapema wiki hii, klabu ya Yanga SC ilanza rasmi mazungumzo ya mkataba mpya na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job, ambaye mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu.

Katika kikao kilichofanyika kati ya viongozi wa klabu hiyo na wawakilishi wa Job, imeelezwa kuwa makubaliano ya awali tayari yamefikiwa. Hata hivyo, pande zote zimekubaliana kuchukua muda zaidi kupitia vipengele vya mkataba kabla ya kuingia kwenye hatua ya kusaini rasmi.

Dickson Job anachukuliwa kama mmoja wa wachezaji wa msingi kabisa katika safu ya ulinzi ya Yanga, na mchango wake umeonekana wazi katika mafanikio ya timu hiyo msimu huu.

Kwa upande wake, Job ameonesha uzalendo na uaminifu mkubwa kwa klabu hiyo ya Jangwani kwa kuipa kipaumbele cha kwanza katika mazungumzo hayo, licha ya kuwepo kwa taarifa za ofa kutoka klabu nyingine.

Taarifa kutoka ndani ya klabu zinaeleza kuwa mahasimu wao wakubwa, Simba SC, wameonyesha nia ya kutaka kumsajili beki huyo. Inadaiwa kuwa iwapo Yanga haitakamilisha mchakato wa mkataba mpya mapema, Simba wanaweza kutumia nafasi hiyo kumshawishi Job kujiunga nao msimu ujao.

Iwapo mkataba mpya utasainiwa, Job ataungana na nyota wenzake kama Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli, ambao tayari wamesaini mikataba mipya ya kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa nchi.

Kwa mujibu wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe, klabu hiyo tayari imeweka mkakati wa kuendelea na wachezaji wote ambao mikataba yao inaelekea ukingoni, lakini wametambuliwa na benchi la ufundi kuwa muhimu kwa mipango endelevu ya klabu hiyo.

Hatua hii inaonesha dhamira ya dhati ya Yanga kuendelea kujenga kikosi imara kwa ajili ya mashindano ya ndani na kimataifa.

Usikose kuitazama mechi hii ya  SIMBA SC vs SINGIDA BS LIVE  bure kupitia simu yako  download App hii mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

 Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD

Au hapa chini pia


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

  1. Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Bonyeza Download anyway

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post