Tangu msimu wa ligi kuu 2021/22 Mdhamini/Mfadhili wa Yanga Ghalib Said Mohammed 'GSM' kauli yake ni moja tu, YANGA BINGWA
Ni nadra sana kumuona GSM akihojiwa katika vyombo vya habari na zaidi hata kurasa za mitandao ya kijamii hana. Lakini kila anapolazimika kufanya mahojiano basi, YANGA BINGWA ndio kauli yake
Sasa juzi katika mahojiano maalum na mtangazaji maarufu Salama Jabir, GSM alitoa kauli yake hiyo katika utaratibu tofauti
Akiwa na msimamo wa kujiamini kuhusu mwenendo wa Yanga msimu huu, GSM akasema kuwa akipewa nafasi ya kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, licha ya Kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuliongoza taifa pia atamwambai Yanga Bingwa
"Nitampongeza Rais kwa kazi nzuri anayofanya, lakini pia nitamwambia Mama, Yanga Bingwa," alisema GSM
Licha ya Salama kumtahadharisha kuwa msimu huu mambo yanaonekana kama magumu, GSM akasisitiza; 'subiri utaona..!'
Yanga inapambana kutetea taji la ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo Wananchi wakisalia na mechi tatu za kutimiza lengo
Muda mchache ujao kutakuwa na mechi kali za ligi kuu barani ulaya moja ikiwa kutanisha wababe wa hispania kati ya BARCELONA vs REAL MADRID na huko england ni LIVERPOOL vs ARSENAL Aise Usikose kuzitazama mechi hizi zote LIVE bure kupitia simu yako download App yetu muda huu inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment