Naitwa Mama Juma, nimeolewa ni na watoto wanne na mume wangu wa ndoa, Jamal, tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, tuliishi kwa upendo na amani ndani ya nyumba bila kadhia yoyote ndani ya nyumba yetu hadi pale tulipojaliwa kupata mtoto mmoja.
Ukweli majirani walivutiwa sana na jinsi ambavyo tulikuwa tukiishi pamoja, nguzo pekee iliyotuongoza maisha ni uaminifu ndani ya ndoa, hakuna ubishi kwamba uaminifu ukikosekana kati ya wawili basi mambo huanza kuharibika.
Licha ya mapenzi moto moto niliyokuwa nampa mume wangu na ambayo yeye alikuwa akinionyesha....SOMA ZAIDI
Post a Comment