Ajikuta akioga baharini kisa mapenzi

Kwa miaka mingi waswahili wamekuwa wakisema kutongoza ni aina nyingine ya sanaa ambayo inahitaji ujuzi pia, kwa kawaida wanawake wanahitaji na kupenda maneno matamu yenye ushawishi kutoka kwa wanaume.

Hata hivyo, sio wanaume wote wanaweza kufanya kitendo hicho cha ujasiri, wengi huishia kukaa kimya na hitaji lao moyoni, wengi huwaita wanaume wa namna hiyo domo zege.

Lakini kuna wanaume ambao wana ujasiri wa kutosha lakini imekuwa ni ngumu kwao kukubaliwa....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post