Baada ya Aziz Ki, watakaofuata ni Diarra, Mzize

 Wakati Yanga ikiingiza takribani Tsh Bilioni 2 baada ya kumuuza kiungo mshambuliaji Stephane Aziz Ki, yawezekana Wananchi bado watafanya biashara zaidi katika dirisha lijalo la usajili

Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Yanga imedokeza kuwa mlinda lango Djigui Diarra na mshambuliaji Clement Mzize ofa zao zinafanyiwa tathmini

Awali Mzize alikuwa kwenye mchakato wa kujiunga na Wydad Athletic sambamba na Aziz Ki lakini imeelezwa kuwa Yanga imepokea ofa nono zaidi kwa Mzize kutoka klabu nyingine ndani ya Afrika na Ulaya

Kwa upande wa Diarra, kuna ofa kutoka klabu za Arabuni lakini pia Kaizer Chiefs inayonolewa na kocha wa zamani wa Yanga Nasreddine Nabi, wameonyesha nia ya kumsajili

Chiefs pia walimuhitaji Mzize, mapema mwaka huu Nabi alisafiri mwenyewe Tanzania kufanya mazunguzo na uongozi wa Yanga

Kama Yanga itamruhusu Diarra kuondoka ni wazi mrithi wa nafasi yake atakuwa Mnigeria Amas Obasogie ambaye anaitumikia Singida Black Stars

Wakati Singida BS wanamtambulisha Obasogie, walibainisha kuwa nyota huyo wa zamani wa Fasil Kenema ya Ethiopia ambaye pia yuko kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria, walimsajili kwa makubaliano maalum na Yanga

Ni wazi Yanga itakuwa busy katika dirisha lijalo la usajili litakalofunguliwa Julai 1

Usikose kuitazama mechi hii ya SIMBA SC VS  BERKANE LIVE  bure kupitia simu yako  download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

 Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD

Au hapa chini pia


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

  1. Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Bonyeza Download anyway

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post