Alikuwa Ashaanza Kunitazama Kama Dada Yake Lakini Kile Nilichofanya Kitandani Kilimrudisha Mikononi Mwangu Usiku Huohuo

 

Mwanzo wa mahusiano yetu ulikuwa wa moto, tulikuwa kama mapacha wa moyo. Tuliongea kila saa, tukakumbatiana kila tulipokutana, na kitandani mambo yalikuwa moto wa kuotea mbali. Lakini baada ya miaka miwili ya kuishi pamoja, hali ilibadilika ghafla.

Hakukuwa na tena mapenzi ya moto, busu zilikuwa baridi, na ukaribu wetu ulianza kufifia kama taa ya kandili isiyo na mafuta. Nilijua kuna kitu hakipo sawa. Hakuwa na hamasa tena kunishika, alilala upande wake wa kitanda kama wageni wawili katika chumba cha hoteli.

Nilijipa moyo kuwa labda kazi zinamchosha, lakini hata siku za mapumziko zilikuwa kimya. Hakukuwa tena na ule mwangwi wa mapenzi uliokuwa ukinifanya....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post