Aeleza jinsi unene kupita kiasi ulivyoiweka njia panda ndoa yake

 Baada ya kuzaliwa kwa watoto wangu watatu, mwili wangu ulipata mabadiliko makubwa. Nikiwa na umri wa miaka 35 tu, nilijikuta nikipambana na uzito kupita kiasi na ngozi iliyolegea na kunifanya nijihisi mzee zaidi kuliko nilivyokuwa.

Licha ya jitihada zangu za kurejesha mwili wangu uwe kama nilivyokuwa kabla ya ujauzito kupitia mazoezi na matibabu ya ngozi, hakuna kitu kilichoonekana kufanya kazi kati ya hivyo.

Jambo baya zaidi ni kwamba mume wangu alianza kujitenga nami huku akionyesha kutofurahishwa na mwili na sura yangu na hata...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post