“Mke wangu alikuwa mrembo sana kiasi kwamba hata nilipoondoka nyumbani kwenda kazini ambako nilikuwa nimeajiriwa wakati huo, nilihisi kutokuwa salama kwa kuhofia mwanaume mwingine angeweza kuingilia nyumbani kwangu na kula mlo wangu”.
Amosi, mmoja wa mwanasiasa vijana kutoka nchini Kenya alikuwa akizungumza moja kwa moja kupitia runinga na kusema kuwa ndoa inakuja na changamoto zake kubwa.
“Naona vijana wa miaka 20 wanakimbilia kuolewa, huku wengine wakiacha shule na kuanzisha familia, na kujiuliza. Je, kweli wanajua wanachofanya?” alihoji Amosi.
Amosi anasimulia; Mnamo....SOMA ZAIDI
Post a Comment