Hakuna ubishi kuwa hapa duniani, msingi wa maisha ya binadamu ni kazi maana ndipo ilipofichwa riziki yenyewe, hakuna mtu anaweza kuishi bila kujishughulisha kwa ajili ya kujipatia chochote kitu.

Hata watu matajiri waliofikia kiwango cha Ubilionea bado kila siku wanabuni miradi ambayo itawaingizia fedha zaidi, maana hakuna mtu anapenda kukaa bure tu.
Lakini kwa nchi nyingi za Afrika bado....SOMA ZAIDI
Post a Comment