Duh! Mchungaji alivyonaswa na mke wa mtu

 Kijana mmoja aitwaye Juma mwenye umri wa miaka 36 huko Pwani alipigwa na bumbuwazi alipogundua kuwa mke wake alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mchugaji mmoja wa kanisa la eneo hilo kwa muda mrefu.

Juma alianza kushuku kuwa kulikuwa na tatizo wakati mke wake alianza kuchelewa kurudi nyumbani na kutotaka mazugumzo naye, huku akibadilisha mtindo wake wa kuvaa na alikuwa anajipodoa zaidi kila ambapo alikuwa anataka kutoka.

Aliamua kumuuliza kuhusu jambo...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post