Kutoka kufanya kazi viwanda vya Wahindi hadi kumiliki biashara kubwa

Baada ya kufanya vibarua kwa miaka mingi kwenye viwanda vya Wahindi nilichoka na kuamua nianze mpango wa kujiari maana ndipo nasikia kuna faida na watu wengi wameweza kutoka kimaisha.

Ili kufikia lengo langu hilo nilianza kutunza fedha zangu nilizopata kila mwisho wa mwezi ingawa ilikuwa kwa kujinyima sana, sikuwa nakula chakula kizuri wala kuvaa nguo nzuri.

Baada ya kama mwaka mmoja na nusu niliweza kufungua duka la kuuza vyakula na hapo nikawa na matumaini tele kuwa naenda kuuwaga umaskini lakini haikuwa hivyo hata....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post