“Alidai tayari amekodi chumba chetu katika hoteli,” mrembo asimulia

Baada ya Glory Mwakio kuhitimu chuo kikuu, pude tu alikuwa miongoni mwa vijana wachache nchini waliopata kazi nzuri ndani ya muda mfupi sana mara baada ya kuhitimu masomo yake ya chuo yaliyodumu kwa miaka mitano.

Kwa kifupi ni kwamba Glory hakuwa na siku nyingi nyumbani au mtaani akitafuta ajira kama ilivyo kwa wahitimu wengi wa vyuo vikuu ambao hutumia miaka mingi kutafuta kazi kazi, kwake mambo yalikuwa rahisi sana.

Huyu ni mbobezi wa masuala ya ICT na afya, aliajiriwa haraka na shirika lisilo la kiserikali (NGO) ambalo lilikuwa linatoa huduma za afya kwa wakazi wanaoishi...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post