Kijana James alikuwa hana budi kumpeleka mama yake mzazi katika kituo cha kutibu waraibu wa dawa za kulevya baada ya mkewe Jesca kufanya jambo ambalo hakuna mtu aliyefikiria kama anaweza kutenda hivyo.
Kwa mujibu wa Jesca aligombana na mama mkwe wake kutokana na kubisha na kukosoa kila ambacho alikuwa anafanya nyumbani kwake, ni kama mama mkwe wake aliamua kuvuka mipaka yake.
Ili kuondokana na kadhia hiyo, Jesca alianza...SOMA ZAIDI
Post a Comment