Kutana na Sasha ambaye alikuwa mmiliki wa duka dogo (genge) huko Rombo ambapo aliuza mboga na bidhaa nyingine za nyumbani kwa wateja wake waaminifu ambao walimpenda sana kwa huduma yake.
Alikuwa akisimamia duka hilo kwa zaidi ya miaka mitano na alikuwa amepata sifa nzuri lukuki katika jamii inayomzunguka, alijulikana kwa uaminifu wake, fadhili na hata ukarimu.
Lakini siku moja kila kitu kilibadilika, Win alifika dukani kwake asubuhi na kumkuta paka mweusi akiwa amekaa kwenye kaunta yake akimtazama kwa macho yake ya njano.
Alishtuka na kuogopa kwani hakuwahi....SOMA ZAIDI
Post a Comment