Baada ya kupokea tu fedha za kustaafu, majanga yakaanza!

 Nilistaafu na kupata kiinua mgongo changu, hivyo nikaanza kujenga jengo kijijini kwangu, ilikadiriwa kugharimu Ksh2.1 milioni fedha ambayo haikuwa shida kwangu kwani nilikuwa nimepokea zaidi ya Ksh10 milioni za kustaafu kutoka katika kazi yangu.

Niliajiri mafundi kutoka Nairobi ambao nilijua wanaweza kufanya kazi nzuri na kwa muda mfupi sana, wakaanza ujenzi. Walikuja na tukanunua baadhi...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post