Aambukizwa ugonjwa wa zinaa na mpenzi wake kwa makusudi

 Jina langu Dullah, nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja aitwaye Nasra ambaye ana kama miaka 26, katika mapenzi yetu kuna kipindi tulikuwa tunaachana na kurudiana maana tulikuwa tunapendana sana.

Hata hivyo, sikuwahi kuwaza kama kuna siku mpenzi wangu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote anaweza kunifanyia jambo la kuniumiza moyo wangu pamoja na mwili wangu.

Nakumbuka mwezi uliopita alikuta....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post