Yanga yaichapa Cosmopolitan 2-0
Leo michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya africa AFCON inaendelea ambapo timu mbali mbali zitakuwa viwanjani kuanzia mida ya saa moja jioni usikose kutazama mechi zote live bure kupitia simu yako pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam Tv na Dstv bure pia mechi za ligi kuu tz bara na ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Kikosi cha Yanga leo kilicheza mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya Cosmopolitan Fc ya jijini Dar es salaam inayojiandaa na ligi ya Championship
Mchezo huo uliopigwa saa 3 asubuhi uwanja wa Manispaa ya Kinondoni, ulimalizika kwa Wananchi kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 yote yakifungwa na Maxi Nzengeli
Licha ya kuwakosa wachezaji 14 ambao wako kwenye majukumu ya timu za Taifa, Yanga inaendelea na maandalizi yake kuelekea mchezo wa raundi ya pili ligi ya mabingwa dhidi ya CBE
Mchezo wa mkondo wa kwanza utapigwa Ethiopia Septemba 14 na marudiano kupigwa Tanzania, Septemba 21
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment