Simba iko poti 1 droo ya makundi CAF CC
Usikose kuitazama mechi ya AZAM FC vs SIMBA Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Al Ahli Tripoli hapo jana na kujihakikishia tiketi ya kucheza hatua ya makundi CAF CC, Mnyama atakuwa katika poti 1 kwenye droo ya makundi itakayofanyika Oktoba 07 Cairo, Misri
Katika poti 1 Simba iko pamoja na vigogo wengine Zamalek, RS Berkane na USM Alger. Habari njema ni kuwa timu hizi hazitakutana katika hatua ya makundi
Kwenye makundi Simba itapangwa dhidi ya timu kutoka poti 2, 3 na zile ambazo hazina alama
Katika poti 2 kuna Asec Mimosas, Stade Malien, Al Masry na CS Sfaxien
Katika poti 3 kuna Enyimba na ASC Jaaraf huku timu nyingine 6 hazina alama zinaunda poti ya 4
Timu hizo ni CS Constantine, Bravos do Maquis, Lunda Sul, Orapa United, Black Bulls na Stellenbosch
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment