Mechi tatu zinazofuata Simba
Usikose kuitazama mechi ya AZAM FC vs SIMBA Live bure kwenye simu yako download app yetu itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utweza kutazama chanel za AZAM TV na DSTV bure kabisa pia na mechi zote za Nbc premier league na mechi zote za Ulaya kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Baada ya kujihakikishia tiketi ya makundi kombe la Shirikisho la CAF (CAF CC), Simba inarejesha nguvu zake katika msako wa taji la ligi kuu msimu huu ambapo Alhamisi Septemba 26 Mnyama atakuwa Zanzibar kukabiliana na Azam Fc katika Mzizima Derby
Kulingana na maboresho ya ratiba, Simba itacheza mechi tatu za ligi kuu katika kipindi cha wiki moja kabla ya mapumziko ya kalenda ya FIFA
Baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, kikosi cha kocha Fadlu Davids kitaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Septemba 29
Oktoba 04 Simba itakuwa Dar es salaam kuikabili Coastal Union katika mchezo utakaopigwa KMC Complex
Simba ilianza msimu huu kibabe kwa kushinda mechi mbili za kwanza, mabao saba yakifungwa na kukusanya alama sita
No comments:
Post a Comment