Yanga kumenyana na Vitalo Fc Caf champions league
Usikose kuitazama mechi ya VITALO FC vs YANGA kesho kutwa miachuano ya Caf champions league LIVE bure kupitia simu yako download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure download sasa app yetu kuidownload bonyeza 👉🏻HAPA
Pazia la michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa msimu huu 2024/25 litafunguliwa mwishoni mwa wiki hii kwa mechi za hatua ya awali kupigwa
Yanga ambayo inaanzia ugenini, Jumamosi August 17 itakuwa uwanja wa Azam Complex kumenyana na Vital'o ya Burundi katika mchezo wa mkondo wa kwanza
Vital'o wamechagua kutumia uwanja wa Azam Complex baada ya kukosa uwanja uliokidhi vigezo vya CAF huko Burundi
Mchezo wa marudiano utapigwa August 24 uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Yanga watakuwa wenyeji
Msimu huu Yanga imeweka malengo ya angalau kucheza nusu fainali ya michuano hiyo lakini jambo muhimu kwanza ni kuisaka tiketi ya kucheza makundi
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment