Simba Yasajili mshambuliaji mwingine huyu hapa - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Yasajili mshambuliaji mwingine huyu hapa

Simba Yasajili mshambuliaji mwingine huyu hapa

Usikose kuitazama mechi ya VITALO FC vs YANGA kesho kutwa miachuano ya Caf champions league LIVE bure kupitia simu yako download app yetu itakayokuwezesha kuitazama mechi hii bure kabisa pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv bure download sasa app yetu kuidownload bonyeza 👉🏻HAPA

 Simba imekamilisha usajili wa mshambuliaji Leonel Ateba raia wa Cameron kwa mkataba wa miaka miwili akitokea USM Alger ya nchini Algeria

Ateba anatajwa kuwa pendekezo la Kocha Fadlu Davies ambaye aliutaka uongozi wa Simba kumuongezea mshambuliaji mwingine baada ya kutoridhishwa na eneo hilo

Swali lililobaki sasa ni mchezaji gani ataondolewa ili kumpisha Ateba?

Huenda Simba ikalazimika kuondoa katika usajili jina la mlinda lango Ayoub Lakred anayeendelea na matibabu baada ya kuumia katika pre-season nchini Misri

Baada ya usajili wa Moussa Camara, Simba ina walinda lango wawili wa kigeni hivyo kwa dharura iliyojitokeza uamuzi rahisi ni kuachana na mlinda lango mmoja

KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA


PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE  HAPA



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz