Simba Queens kushuka dimbani tena leo CECAFA
Usikose kuitazama mechi ya YANGA vs VITALO na SIMBA vs SINGIDA FG Live bure kupitia simu yako download app yetu itakayokuwezesha kuzitazama mechi hizi zote LIVE bure pia ukiwa na app yetu utaweza kutazama mechi zote za ulaya pia na chanel za Azam tv na Dstv bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Timu ya wanawake kutoka Tanzania Simba Queens, inatarajiwa kushuka dimbani leo dhidi ya Kawempe Muslim FC kutoka nchini Uganda katika Uwanja wa Abebe Bekila, leo Agosti 21, 2024 majira ya saa 5:00 asubuhi, ikiwa ni mchezo wa mashindano ya CECAFA Zonal Qualifiers kwa ajili ya CAF Women’s Champions League.
Timu ya wanawake kutoka Tanzania Simba Queens, inatarajiwa kushuka dimbani leo dhidi ya Kawempe Muslim FC kutoka nchini Uganda katika Uwanja wa Abebe Bekila, leo Agosti 21, 2024 majira ya saa 5:00 asubuhi, ikiwa ni mchezo wa mashindano ya CECAFA Zonal Qualifiers kwa ajili ya CAF Women’s Champions League. Ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza wa klabu ya Simba Queens walipata ushindi wa goli 5-0 dhidi ya FAD Djibouti.
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
No comments:
Post a Comment