Yanga yatangaza Siku ya Mwananchi ni Agosti 4
Michuano ya EURO 2024 inaendelea pia mechi za kirafiki zinaendelea usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia ndani ya app yetu utaweza kutazama chanel za azam tv buree na muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA kuangalia video za wakubwa bofya 👉🏻HAPA
Klabu ya Yanga imetangaza kuwa kilele cha tamasha lao la Siku ya Mwananchi (Yanga Day) kwa msimu huu itakuwa tarehe 04/08/2024 katika Dimba la Mkapa.
Tamasha hilo ni maalum kwa ajili ya kutambulisha wachezaji na benchi la ufundi ambao wataunda kikosi cha timu hiyo kuelekea msimu ujao.
Post a Comment