Breaking: Simba watambulisha mchezaji mpya huyu hapa
Michuano ya EURO 2024 inaendelea pia mechi za kirafiki zinaendelea usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia ndani ya app yetu utaweza kutazama chanel za azam tv buree na muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA kuangalia video za wakubwa bofya 👉🏻HAPA
Ni rasmi klabu ya Simba imetambulisha usajili wa kiungo mshambuliaji Joshua Mutale mwenye umri wa miaka 22
Mutale anatua Simba akitokea klabu ya Power Dynamos ya Zambia
Ni moja ya sajili ambazo Simba ilizikamilisha mapema na kilichokuwa kikisubiriwa ni utambulisho
Akiwa na Power Dynamos msimu uliopita, Mutale alipachika mabao matano na kutoa assist tatu katika mechi 26
Huyu ni mchezaji ambaye anaweza kumudu nafasi zote za winga na hata mshambuliaji msaidizi (namba 10)
No comments:
Post a Comment