Khomein atambulishwa Jangwani
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻 HAPA
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinda lango Aboubakar Khomein kutoka klabu ya Ihefu Fc (Singida Black Stars)
Ni usajili uliokuwa ukisubiri utambulisho kwani Wananchi walikamilisha usajili huo majuma kadhaa nyuma
Khomein anatua Yanga kuchukua nafasi ya Metacha Mnata ambaye aliruhusiwa kuondoka baada ya mkataba wake kumalizika
Anajiunga kuimarisha eneo la golikipa ambalo tayari liko mikononi mwa Djigui Diarra na Aboutwalib Mshery
Khomein ni mlinda lango mwenye uzoefu na ligi ya Tanzania Bara pia akipata nafasi ya kuitumikia timu ya Taifa kuanzia ngazi ya vijana
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment