Kagoma atambulishwa Msimbazi
Usikose kutazama live mechi za EURO 2024 bure kwenye simu yako download app yetu kutazama pia chanel za Azam tv zote bure kudownload app yetu bonyeza 👉🏻 HAPA
Ni rasmi klabu ya Simba imetangaza usajili wa kiungo mkabaji Yusuf Kagoma kutoka klabu ya Singida FG
Kagoma ametua Msimbazi kwa kusaini mkataba wa miaka mitatu
Usajili huu umeacha maumivu kwa watani kwani ni mchezaji ambaye waliishia kumpa 'kishika uchumba' lakini mwenyewe akachagua kujiunga na Simba
Bila shaka kishika uchumba hicho wamerejeshewa na sasa Kagoma amejiunga na klabu ya ndoto yake, Simba
Kagome amejipambanua kwa uwezo wake mkubwa katika eneo la kiungo cha ulinzi, ni mtu wa kazi kwelikweli
Unaweza kusema Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ametumia pesa hasa kuisuka upya Simba katika dirisha hili la usajili
Kwani Mnyama amesajili wachezaji bora wa ndani lakini pia akishusha nyota bora katika usajili wa Kimataifa
KUPATA KIFURUSHI CHA DATA VODA BOFYA + HAPA
PATA GB 30 KILA MTANDAO BURE HAPA
Post a Comment