Huyu hapa mrithi wa Chama pale msimbazi
Michuano ya EURO 2024 inaendelea pia mechi za kirafiki zinaendelea usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia ndani ya app yetu utaweza kutazama chanel za azam tv buree na muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA
Klabu ya Simba inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua aliyekuwa akiitumikia Stella Adjame ya Ivory Coast
Ahoua anatarajiwa kuwasili nchini wiki hii kukamilisha usajili wake ambapo taarifa za ndani zimebainisha kuwa atasaini mkataba wa miaka mitatu
Kiungo huyo mshambuliaji mwenye miaka 22 anatajwa kuwa mrithi wa Clatous Chama ambaye Simba imeachana nae baada ya mkataba wake kumalizika
Ahoua ndio MVP wa ligi kuu ya Ivory Coast msimu uliopita akifunga mabao 12 na kutoa assist 9
No comments:
Post a Comment