Alichokisema Haji manara baada ya Chama kutambulishwa Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Alichokisema Haji manara baada ya Chama kutambulishwa Yanga

Alichokisema Haji manara baada ya Chama kutambulishwa Yanga

Michuano ya EURO 2024 inaendelea pia mechi za kirafiki zinaendelea usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia ndani ya app yetu utaweza kutazama chanel za azam tv buree na muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili kudownload app yetu bonyeza 👉🏻HAPA

Manara atoa ya moyoni Chama kutambulishwa Yanga

Haji Manara ametoa ya moyoni baada ya Chama Clatous kutambulishwa Jangwani.

"Nilijua ipo siku ntafanya kazi tena na hiki kiumbe, nilijua na niliamini hivyo, kuna wakati alikubali hata kutofautiana na mabosi zake wa zamani kwa kunitetea mimi.

"Chama Babaaa,Chama Babaaaa, Chama Weee, Njoo Mwanangu, Anyau Anyau Anyau Chamaaaaa.

"Imagine Being Us Wananchi???????? Kama najiona hiyo siku, ombeni uhai Wanayanga,itakuwa kubwa mno na haijawahi kutokea before."Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz