Yanga kutangaza jezi mpya siku hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga kutangaza jezi mpya siku hii

Yanga kutangaza jezi mpya siku hii

Michuano ya EURO 2024 inaendelea leo mechi za kibabe zitapigwa leo usikose kuzitazama mechi hizi zote live buree kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia kwenye app hii kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv kudownload app hii bonyeza ðŸ‘‰ðŸ»ðŸ‘‰ðŸ»HAPA

Yanga kutangaza jezi mpya sabasaba

Timu ya Wananchi Yanga Mabingwa wa nchi wanatarajiwa rasmi kuzindua jezi zao mpya za msimu 2024-2025 mwezi ujao (Julai 7, 2024) siku ya Saba saba.

Idara ya habari na mawasilino ndani ya Yanga itaanza pia kutoa taarifa za wachezaji wote ambao hawatakuwa sehemu ya kikosi Kuelekea msimu ujao.

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Angel Gamondi ameshaanza likizo yake pamoja na Viongozi wote wa benchi la ufundi.

Yanga itaanza maandalizi ya pre season kwa mwezi wa Julai mwaka huu kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao.


Yanga wapo Katika hatua za mwisho kuzitangaza Kampuni ambazo zitakwenda kufanya kazi ya kutathimini mali zote za Yanga mwisho wa mwezi huu kila mwanachama na mashabiki wote wa Yanga watazijua Kampuni hizo. Hii ni hatua ya tatu ya mchakato wa mabadiliko wa Yanga.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz