Ishu ya Okrah, Yanga kupelekwa FIFA - EDUSPORTSTZ

Latest

Ishu ya Okrah, Yanga kupelekwa FIFA

Ishu ya Okrah, Yanga kupelekwa FIFA

Michuano ya EURO 2024 inaendelea leo mechi za kibabe zitapigwa leo usikose kuzitazama mechi hizi zote live buree kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia kwenye app hii kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv kudownload app hii bonyeza ðŸ‘‰ðŸ»ðŸ‘‰ðŸ»HAPA

Ishu ya Okrah, Yanga kupelekwa FIFA

Klabu ya Bechem United wameiburuza Young Africans FIFA kutokana na kutokuwa na uwezo wa kulipa ada ya uhamisho ya Augustine Okrah.

Mwanzo lilikuwa ni deni la Milioni 320 lakini Yanga walilipa Milioni 55 pekee ili ITC itolewe. Mpaka sasa, hawajalipa kiasi kilichobaki cha Tsh. 265 Milioni.

Pia Klabu ya Yanga inadaiwa na Okrah sehemu ya ada yake ya kusajiliwa, mishahara na bonasi za ushindi pia Waliahidi kumlipa Okrah kama hawatofanya hivyo, Okrah atawaburuza Yanga mpaka FIFA.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz