Wiki ya maamuzi magumu kwa Wananchi, mko tayari? - EDUSPORTSTZ

Latest

Wiki ya maamuzi magumu kwa Wananchi, mko tayari?

Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said

Bonyeza hapa kudownload app itakayokuwezesha kutazama chanel za azam tv na dstv buree pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pamoja mechi zote live buree bofya sasa kudownload

Wakati Msimu wa soka 2023/24 ukitamatika Mei 2 kwa Fainali ya Kombe la Shirikisho iliyopigwa Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Ni Ishara kuwa kila Timu inaanza mchakato wa kufanya maamuzi ya kupanga mipango ya msimu ujao 2024/25.

Hivyo hivyo kwa Klabu ya Yanga ambayo imeonekana kuwa katika Wakati mgumu kutokana na kuhitaji kuweka mipango sawa ili kuendeleza mafanikio waliyoyapata katika msimu uliopita.

Hatma ya Staa ndani ya kikosi hicho, Aziz KI Hatma ya Kocha Miguel Gamondi na hatma ya Beki Bakari Mwamnyeto inatarajiwa kujulikana wiki hii baada ya mikataba yao kumalizika ndani ya Klabu.


Macho na masikio ya Wanayanga hivi sasa yapo Jangwani kutaka kujua taarifa za watu hao.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz