Thank You zinaendelea Msimbazi - EDUSPORTSTZ

Latest

Thank You zinaendelea Msimbazi

Thank You zinaendelea Msimbazi

Michuano ya EURO 2024 inaendelea leo mechi za kibabe zitapigwa leo usikose kuzitazama mechi hizi zote live buree kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia kwenye app hii kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv kudownload app hii bonyeza ðŸ‘‰ðŸ»ðŸ‘‰ðŸ»HAPA

KIKOSI Cha Simba Vs Al Ahly Leo 05 April 2024

Mpaka sasa Simba imethibitisha kuachana na wachezaji wawili aliyekuwa nahodha John Bocco na kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkiza

Zoezi la Thank You linaendelea ambapo leo taarifa za mchezaji mwingine zinatarajiwa kutolewa

Kuna majina ya wachezaji ambao mashabiki wanasubiri kwa hamu kusikia Thank You zao, miongoni mwao ni mshambuliaji Pa Omar Jobe

Jobe alitua Simba katika usajili wa dirisha dogo sambamba na Freddy Michael lakini unaweza kusema Jobe hajaonyesha kabisa kile ambacho mashabiki wa Simba walihitaji kukiona kutoka kwake

Huyu ni miongoni mwa wachezaji ambao pengine wamepelekea lawama nyingi kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Salim Abdallah 'Try Again' kuwa hakukuwa na umakini katika usajili wa mshambuliaji huyo

Hennock Inonga ni miongoni mwa wachezaji ambao Thank You yao pia inaasubiriwa. Inonga aliingia katiika mgogoro wa kimkataba na Simba mwishoni mwa msimu uliopita lakini sasa imeelezwa tayari Simba imepokea ofa na imeridhia kumruhusu aondokeDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz