Boka ajipanga kuanza maisha mapya Jangwani - EDUSPORTSTZ

Latest

Boka ajipanga kuanza maisha mapya Jangwani

Boka ajipanga kuanza maisha mapya Jangwani

Michuano ya EURO 2024 inaendelea leo mechi za kibabe zitapigwa leo usikose kuzitazama mechi hizi zote live buree kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia kwenye app hii kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kiswahili pamoja na chanel za Azam tv na Dstv kudownload app hii bonyeza ðŸ‘‰ðŸ»ðŸ‘‰ðŸ»HAPA

CV ya Chadrack Issaka Boka Mchezaji Mpya wa Yanga, CV ya Chadrack Issaka Boka Mchezaji Mpya wa Yanga 2024/2025, Mfahamu Chadrack Issaka Boka Mchezaji wa Yanga SC, Historia ya Chadrack Issaka Boka, CV ya Chadrack Issaka Boka, Historia ya Chadrack Boka, Umri Wa Chadrack Issaka Boka Yanga, Timu alizowahi kuchezea Chadrack Issaka Boka.

 Ni suala la muda tu, Yanga itamtambulisha mlinzi mpya wa kushoto Chadrack Boka aliyetua kwa Wananchi akitokea klabu ya Fc Lupopo ya DR Congo

Boka ni usajili wa kwanza kukamilishwa na Yanga katika dirisha hili la usajili ambalo limefunguliwa rasmi Juni 15

Nyota huyo anasubiri kusajiliwa kwenye mfumo wa usajili wa FIFA Connect ambapo msemaji wa Yanga Ali Kamwe jana alithibitisha kuwa tayari klabu hiyo imelipa madai yote yaliyokuwa yaamefunguliwa na wachezaji wao wa zamani na hivyo wakati wowote timu itafunguliwa kusajili

Boka tayari amepatiwa program maalum ya mazoezi na Kocha Miguel Gamondi ambayo anapaswa kuikamiilisha kabla ya kujiunga rasmi na Yanga katika pre-season

"Kocha amenipigia, akanikaribisha kwenye timu, ameniambia anataka nikaonyeshe uwezo mkubwa ndani ya Yanga kwa upande wa beki wa kushoto, ameniambia nijiandae kwa ushindani kwani ubora wangu ndio utakaonipa nafasi kwa kuwa wapo wachezaji wazuri pia wanacheza eneo hilo"

"Akaniambia kuna msaidizi wake atanipigia kunipa programu ya mazoezi kipindi hiki ligi imemalizika na nitatakiwa kuifuata sawa sawa na kama sitafuata nitaanza kazi kwa adhabu"

"Nimefurahia sana mazungumzo na kocha yamenifanya nijipange vizuri zaidi kwa kuona kuwa na kwenda kufanya kazi na timu yenye kocha mkubwa anayetaka mafanikio lakini zaidi ameniheshimu kwa kuwasiliana na mimi kwanza," Boka alinukuliwa na gazeti la MwanaspotiDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz