TFF wakana kuhusika na Wadukuzi wa Mitandaoni - EDUSPORTSTZ

Latest

TFF wakana kuhusika na Wadukuzi wa Mitandaoni

TFF wakana kuhusika na Wadukuzi wa Mitandaoni

Leo michuano ya EURO 204 inaendelea mechi za kibabe zinapigwa usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia kwenye app yetu utaweza kutazama muvi zilizobtafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv buree bonyeza ðŸ‘‰ðŸ»ðŸ‘‰ðŸ»HAPA

TFF wakana kuhusika na Wadukuzi wa Mitandaoni

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa kuuarifu umma kuwa halihusiki na taarifa ya kundi la udukuzi mitandaoni la Anonymous kupinga Muswada wa Sheria ya Fedha wa Serikali ya Kenya.

Taarifa ya TFF ya leo Juni 20, 2024 imeeleza kuwa kundi hilo likitumia akaunti inayoonesha kuwa ni ya wenyeji wa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwaka 2027 limechapisha katika ukurasa huo taarifa ya kupinga muswada huo.

“Tanzania, Kenya na Uganda ni wenyeji wenza wa fainali hizo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).” — imesema TFF

“Tunasisitiza kuwa TFF ikiwa ni mwanachama was Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) pamoja na CAF haijihusishi na masuala ya kisiasa kwa njia yoyote ile.”Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz