Kennedy Juma apewa "Thank You" Simba SC
Leo michuano ya EURO 204 inaendelea mechi za kibabe zinapigwa usikose kuzitazama mechi zote live bure kwenye simu yako download app yetu kutazama mechi zote live bure pia kwenye app yetu utaweza kutazama muvi zilizobtafsiriwa kwa kiswahili pia utaweza kutazama chanel za Azam tv na Dstv buree bonyeza 👉🏻👉🏻HAPA
Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu ya Simba, mlinzi wa kati Kennedy Wilson Juma hatokuwa sehemu ya kikosi cha Mnyama kuelekea msimu mpya baada ya mkataba wake kumalizika.
Kennedy Juma alijiunga na Simba Julai 2019 akitokea katika Klabu ya Singida United ya Mkoani Singida.
Kwa sasa Kennedy Juma anatajwa kumalizana na Klabu ya Coastal Unioni ambao watashiriki Michuano ya Kombe la Shirikisho msimu ujao
Post a Comment