Taarifa MPya kutoka simba Jioni hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa MPya kutoka simba Jioni hii

 

Leo ndio siku michuano ya UEFA EURO 2024 CHAMPIONS inaanza usikose kutazama mechi zote live buree kwenye simu yako bonyeza hapa kudownload app itakayoonesha mechi zote live bure kwenye simu yako pia ukiwa na app hii utaweza kutazama muvi zilizo tafsiriwa kwa kiswahili pia utatazama chanel za Azam tv na Dstv bofya sasa

Klabu ya Simba imetangaza kuanzia Jumatatu, Juni 17 itaanza kutoa taarifa ya wachezaji ambao hawatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amesema watakuwa na awamu tatu tofauti za kutoa taarifa kwa Wanasimba

"Kuanzia Jumatatu tutaanza kutoa taarifa za Thank You, yaani kutoa shukrani kwa wachezaji ambao wameitumikia Simba lakini hawatakuwa sehemu ya kikosi msmu ujao"

"Baada ya zoezi hilo kukamilika, tutaanza kutoa taarifa za wachezaji walioongeza mikataba na tutahitimisha na taarifa za wachezaji wapya tuliowasajili"

"Hiki ni kipindi muhimu sana kwa Wanasimba hivyo tunawaomba wakae karibu na vyanzo rasmi vya taarifa za klabu ya Simba," alisema Ahmed

TFF tayari imetangaza kufunguliwa kwa dirisha la usajili hapo kesho

BONYEZA HAPA KUANGALIA VIDEO ZA WAKUBWA UJIFUNZE MAUTUNDU YA KITANDANIDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz